Wilaya ya bagamoyo taifa 2020


Mmoja ya wadau wa Uchaguzi kutoka kundi la Watu wenye Mahitaji Maalum (kulia), akitoa mchango wako wakati wa majadiliano kwenye Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Ucaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo kujiandaa na Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa wa Dar es Salaam.Ministry of Community Development, Gender and Children (MCDGC). The Ministry's mandate as stipulated in the government notice was development of policy on gender affairs, community development programmes, family planning, parastatal organizations and its management.Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Kawawa akitoa hotuba wakati wa mahafali ya 30 ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ambapo aliwataka wahitimu wakawe raia wema na kuitumia elimu waliyoipata ipasavyo kwa ajili ya manufaa yao na Taifa kwa ujumla.Halmashaur­i ya Wilaya ya Bagamoyo ni moja kati ya Halmashuri 9 katika Wilaya 7 za Mkoa wa Pwani. Halmashaur­i ya Bagamoyo inaundwa na Tarafa 2, Kata 11, Vijiji 8 na Vitongoji 174 JIOGRAFIA YA WILAYA Halmashaur­i ya Wilaya ya Bagamoyo ina ukubwa wa eneo lenye kilometa za mraba 945 ambalo ni eneo la nchi kavu. Aliwataja waliofariki dunia kuwa ni pamoja na Mhandisi wa Maji Wilaya ya Bagamoyo, Juliana Msagaa, dereva wa mkurugenzi, Halid Hassan, dereva wa TASAF, Makame Ally (40), Ofisa Mipango na Uchumi, Hilda Msele (59), Mwanasheria wa Wilaya, Tunsiime Duncan na Mchumi, Ludovic Palangyo.